Habari za Simba
Habari za michezo

BAADA YA MASHABIKI KUMSEMA SANA…BOCCO AVUNJA UKIMA SIMBA…AELEZA KILIO CHA WACHEZAJI WOTE…

admin February 24, 2023 10:21 am

Nahodha wa Simba, John Bocco amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kwa kushindwa kupata ushindi kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu Tanzania Bara.

Akizungumza na chombo kimoja cha habari leo, nahodha huyo ameeleza kuwa uchovu na kukosa muda wa kutosha wa mapumziko ni moja ya sababu iliyofanya wasing’are, lakini bado hawajakata tama.

“Ni matokeo mabaya ambayo yanawaumiza mashabiki wetu, lakini hata sisi wachezaji hatuyafurahii, tunaomba watuvumilie na kutuunga mkono sababu ni jambo la mpito,” amesema Bocco.

Sare ya bao 1-1 jana dhidi ya Azam FC, imeifanya timu hiyo kupitwa kwa pointi tano dhidi ya vinara wa ligi hiyo Yanga, ambao jioni ya leo watashuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na KMC. Simba ipo mbele mchezo mmoja.

MANARA: YANGA TUMEPOKEA OFA YA AL AHLY KUMTAKA NABI…KOCHA WA SIMBA KATUAIBISHA SANA… KOCHA VIPERS:- SIJAONA MCHEZAJI MWENYE MADHARA SIMBA…TUNAWAPIGA NNJE NDANI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply