Habari za Simba
Habari za michezo

KISA USHINDI KIDUCHU DHIDI YA VIPERS…’TSHABALALA’ AWAPA ZA USO MASHABIKI WANAOPONDA…

admin February 28, 2023 1:00 pm

Baada ya Simba juzi Jumamaosi kuibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya Vipers mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, Nahodha Msaidizi Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ ameibuka na kuanika ya moyoni.

Katika mchezo huo wa kundi C, Simba iliibuka na alama tatu kwa bao la beki wake Henock Inonga.

Baada ya mchezo huo Nahodha wa Simba Mohammed Hussein ” Tshabalala” amesema kuwa mchezo ulikuwa mgumu kama walivyotarajia na watu wasishangae wao kuibuka na ushindi wa goli moja walilopata.

“Ilikuwa mechi ngumu na kitu pekee tulichokihitaji ni ushindi ili malengo yetu yawe hai katika champions league, Ahsanten kwa wote mliotuombea na wale washabiki wetu mliotoka Tanzania kuja kutusapoti mungu awabariki”

Simba inakatamata nafasi ya tatu katika kundi C wakiwa na alama tatu baada michezo mitatu nyuma ya vinara Raja Casablanca wenye alama 9, Horoya wakiwa na alama 4 huku Vipers wakiwa na alama 1.

EXCLUSIVE….ONYANGO NI MDOGO SANA KWA MAUYA WA YANGA….SIMBA KUJA KIVINGINE CAF… HUYO OKWA UNAAMBIWA KAMA KAZALIWA UPYA HUKO IHEFU…ANAKICHAFUA HATARI YANI….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply