Habari za Yanga
news

MZEE MPILI NAYE AWEKA YA KWAKE..ISHU YA FEI TOTO NA YANGA…MSIMAMO WAKE HUU HAPA…

admin March 2, 2023 4:12 pm

Mwanachama wa klabu ya Yanga, Mzee Mpili amesema hawamtaki tena kiungo wao Feisal Salam maarufu Fei Toto kurudi katika kikosi cha timu hiyo.

Akizungumza jana Machi 1 mbele ya Wanahabari Mzee Mpili ambae ni mpenzi wa Yanga kindaki ndaki amesema

“Asirudi tena Yanga mpaka tunamaliza Ligi au tunamaliza miaka yake (2024) mkataba wake utakapomalizika”

Feisal aliomba kuvunja Mkataba wake ndani ya Yanga, Huku uongozi ukikataa kuridhia ombi hilo wakidai ana mkataba mpaka Mei 30, 2024.

JULIO:- SIMBA HAIPATI MATOKEO KWA SABABU INA WACHEZAJI WATANO TU WAMAANA… PREMIER BET PROMO CODE TANZANIA: GET 100% BONUS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply