Habari za Simba
Habari za michezo

JULIO:- SIMBA HAIPATI MATOKEO KWA SABABU INA WACHEZAJI WATANO TU WAMAANA…

admin March 2, 2023 3:56 pm

Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amedai kuwa kikosi cha Simba cha sasa kina wachezaji watano tu ambao wanaweza kuisaidia timu ndiyo maana hakuna matokeo mazuri.

“Wachezaji wa sasa ambao wanaweza kuisaidia Simba hawazidi watano tu, jiulize ile Vipers iliyocheza na Simba kuna timu pale? Wale wangecheza na Simba ile ambayo ipo sawa wangekula tano,” anasema Julio.

Kuhusu Wazawa katika idadi hiyo ya watano wapo wawili na wageni ni watatu.

Simba kwa siku za hizi karibuni imekuwa ikikumbana na matokeo ambayo si ya kuridhisha huku lawama kubwa ikipelekwa kwa uongozi kwa kile kinachotajwa kutosajili wachezaji wazuri

KUELEKEA MECHI YA PILI NA BAMAKO…YANGA WAPANGA UMAFIA HUU KUMALIZA SHOW MAPEMA… MZEE MPILI NAYE AWEKA YA KWAKE..ISHU YA FEI TOTO NA YANGA…MSIMAMO WAKE HUU HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply