Meridianbet
Habari za michezo

KWA TSH 200/= MERIDIANBET WANAKUPA MPAKA MIZUNGUKO 500 BURE KWA CASINO YA AVIATOR..

admin March 10, 2023 8:04 pm

Meridianbet wamekuja na hii nyingine, mvua 20 zitanyesha kwaajili yako, ni mizunguko 500 ya bure kila siku kutoka sloti ya Aviator, ndani ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unambiwa sloti hii inatoa hela balaa unaanzaje kuikosa hii.

Kwa dau la kuanzia Tsh 200 unaweza kuizalisha na kuwa mamilioni ya hela kupitia mizunguko 500 ya bure inayotolewa kila siku baada ya kucheza mchezo wa Aviator hivyo na wewe unaweza kuwa mmoja kati ya wanufaika wa promosheni hii.

Wakati kila siku washindi wa Aviator wakipatikana wewe pia unaweza kua sehemu ya washindi wetu wanaovuna mamilioni kila siku kwa kurusha ndege ya Aviator kutoka Meridianbet na kua bingwa usie sahaulika, Jisajiri sasa kugusa link hii https://meridianbet.co.tz/en/betting , Au kama tayari wewe ni Mteja wetu usiwaze ingia sasa kwenye kurasa zetu za kasino na uchague Aviator,

Chagua Aviator kwakua Kuanzia leo mpaka Machi 22, mvua 20 za bure sawa na beti 500 kila siku zitakushukia. Wahi na Ushinde Sasa!  https://app.mrdn.co/aviator

Meridianbet Tanzania wameamua kutuletea gemu hii mpya ambayo inapita viwango vyote vya burudani. AVIATOR ni mchezo wenye ubora wa viwango vya kimataifa, ikiwa imeendaliwa vyema kukusogezea burudani na ushindi.

Jaribu Uhondo wa Aviator Ufurahie Mihela!

Gemu hii ya kusisimua inakufanya ujishindie zaidi ukiwa unatengeneza mkwanja chap chap kwa kukupatia nafasi ya kupata ushindi mkubwa! Mizunguko ya bure 500 kwa siku, Dau la TZS 200 na mandhari ya kuvutia sana. Hapa nakumegea vipande tuu vya baadhi ya vitu vya kufurahisha kwenye mchezo huu.

Bila shaka upo tayari kuanza safari yako ya ushindi, taaratibu ukiwa na mchezo huu maridadi kuelekea kilele cha burudani!

Lakini pia nakukumbusha kuwa si hii pekee, bado una michezo mingi unayoweza kufurahia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Furahia michezo kama Roulette, Poker, Icy Fruit, Book of Egypt, City Derby na mingine kibao.

Wanaokusogezea uhondo huu ni Meridianbet mabingwa wa ubashiri, wakitoa huduma za ubashiri wa mtandaoni kwa michezo yote pendwa na kasino ya mtandaoni.

Ikiwa hauna bando, usiwaze kuhusu kukwama bashiri zako, weka jamvi lako Meridianbet kwa USSD kwa kupiga *149*10#!

 

PAMOJA NA HALI NGUMU POLISI TZ…ZAHERA KAJIPIGA PIGA KIFUA KICHA AKASEMA HAYA KWA MABOSI ZAKE… KISA SIMBA…RAIS SAMIA AOMBWA ATOE MIL 200 ZA KUMFUNGA RAJA KWAO….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply