TIKETI ZA KITONGA MECHI YA YANGA....TIKETI 1000 KUTOLEWA BURE...THAMINI UTU CHANGIA DAMU
Habari za Yanga

TIKETI ZA KITONGA MECHI YA YANGA….TIKETI 1000 KUTOLEWA BURE…THAMINI UTU CHANGIA DAMU

Marce Ben Komba March 15, 2023 5:30 am

Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji ametoa tiketi 1000 za kushuhudia mchezo dhidi ya US Monastir

katika mchezo utakaochezwa jumapili ya wiki hii, kwa wote watakaojitokeza kwenye zoezi la uchangiaji damu litakalofanyika siku ya Ijumaa, katika Hospitali ya Mloganzila na Makao Makuu ya klabu ya Yanga.

Ikiwa ni sehemu ya kujali na kuthamini utu, klabu hiyo inafanya hivyo kuhakikisha kunapatikana ongezeko la asilimia nyingi ya damu ili kukizi huduma za matibabu kiujumla pale tu itakapokuwa inahitajika kwa uharaka.

MAGAZETI: MATAJIRI WANUNUA MAGOLI YA YANGA…BEKI SIMBA AFUKUZWA KAMBINI…SIMBA HAINA MUDA WA KULEMBA HUYU HAPA MIKONO 60 WA AFRIKA…GOLIKIPA BORA WA MUDA WOTE AFRIKA…ATAJWA NA IFFHS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply