kimataifa
HUYU HAPA MIKONO 60 WA AFRIKA…GOLIKIPA BORA WA MUDA WOTE AFRIKA…ATAJWA NA IFFHS
Marce Ben Komba
March 15, 2023
5:40 am
Golikipa BORA wa zamani wa Nigeria Vincent Enyeama (40) ametajwa kuwa Golikipa Bora wa Muda Wote wa Afrika na Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Kandanda na Takwimu – IFFHS.
Enyema aliichezea Nigeria katika mechi 101, Kombe la Dunia mara tatu na kushinda AFCON 2013.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.