GOLIKIPA YANGA ATIMKIA KENYA...ATAMBULISHWA KIBABE...AKABIDHIWA JEZI SHANGWE TU
Habari za michezo

GOLIKIPA YANGA ATIMKIA KENYA…ATAMBULISHWA KIBABE…AKABIDHIWA JEZI SHANGWE TU

Marce Ben Komba March 16, 2023 10:53 am

Golikipa wa zamani wa Yanga SC, KMC na Mtibwa Sugar SC, Farouk Shikalo amejiunga na klabu ya Kakamega Homeboyz ya nchini Kenya.

Shikalo alikuwa mchezaji huru baada ya kuachana na Mtibwa Novemba mwaka 2022 kwa makubaliano ya pande mbili na amepewa jezi namba 39.
Ukisema cha nini wenzako wanawaza watakipata lini.

AZAM FC NDIO BASI TENA…KOCHA AWASHANGAA MASTAA WAKE…WAJITOA WENYEWE YANGA ILITUPIGA KIPIGO CHA MBWA KOKO…WANGETUONEA HURUMA TU…SISI HATUPO LIGI YA MABINGWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply