"YANGA ILITUPIGA KIPIGO CHA MBWA KOKO...WANGETU0NEA HURUMA TU...SISI HATUPO LIGI YA MABINGWA
Geita Gold FC

YANGA ILITUPIGA KIPIGO CHA MBWA KOKO…WANGETUONEA HURUMA TU…SISI HATUPO LIGI YA MABINGWA

Marce Ben Komba March 16, 2023 11:09 am

BAADA ya Geita Gold kuambulia kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Yanga ,Mkurugenzi wa Geita Gold Zahar Michuzi amefunguka na kusema kuwa Yanga waliwapangia kikosi cha CAF.

Mchezo huo ulipigwa wikiendi hii Jumapili kwenye Uwanja wa Chamazi ambapo Geita Gold ilianza kufunga kisha ikakwama kushinda mchezo huo.

Mwenyeketi wa Geita Gold Zahar amesema “Kitendo cha Yanga kutuwekea kikosi cha CAF kwa timu yetu ya Geita Gold iliyotoka Buseresere ni shambulio la aibu kwa sababu haiwezekani kikosi cha CAF tuchezeshwe sisi utafikiri wanacheza Shirikisho?

“Kulikuwa na haja gani ya kufanya hayo yote hayo tunaweza tunawamudu isipokuwa bahati ili kuwa siyo kwetu mchezo ulikuwa mzuri pande zote lakini sisi tulikosa matokeo,” .

Geita Gold imepoteza mechi zote mbili dhidi ya Yanga ule wa awali ilifungwa bao 1-0 Uwanja wa CCM Kirumba na mzunguko wa pili walifungwa mabao 3-1.

GOLIKIPA YANGA ATIMKIA KENYA…ATAMBULISHWA KIBABE…AKABIDHIWA JEZI SHANGWE TU SIMBA YAFANYA MAAJABU YAKE…KLABU BINGWA MIDOMO WAZI…RAJA CA HAWAAMINI MACHO YAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply