MCHEZAJI MAMELODI APATWA NA KICHAA...ANAISHI CHINI YA DARAJA...INASIKITISHA SANA
Habari za michezo

MCHEZAJI MAMELODI APATWA NA KICHAA…ANAISHI CHINI YA DARAJA…INASIKITISHA SANA

Marce Ben Komba March 16, 2023 5:30 am

Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia Katika timu za vijana ya Mamelod Sundowns na kupandishwa hadi timu ya wakubwa, Khayelihle alipotea kwa mara ya kwanza mwishoni mwa Oktoba 2021, na kutoweka bila kujulikana, alipokuwa akicheza na JDR Stars katika ligi daraja la pili Afrika Kusini.

Mnamo Januari 2022, alipatikana barabarani, akichimba kwenye mapipa ya takataka, na akiishi chini ya daraja

SIMBA YATOA TIKETI ZA KITIONGA…TANZANIA YAPANDA VIWANGO…YANGA YAAMBULIA POINTI 1 KAGERA SUGAR YA MOTO BALAA…MZUNGU AMETHIBITISHA…SILAHA MATATA ZATUMIKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply