SIMBA YATOA TIKETI ZA KITIONGA...TANZANIA YAPANDA VIWANGO...YANGA YAAMBULIA POINTI 1
Habari za Yanga

SIMBA YATOA TIKETI ZA KITIONGA…TANZANIA YAPANDA VIWANGO…YANGA YAAMBULIA POINTI 1

Marce Ben Komba March 16, 2023 5:20 am

SIMBA imeshaipa neema Tanzania baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo.

Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja.

Aidha Yanga kuwepo kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kimeihakikishia Tanzania pointi 0.5.

Timu hizo mbili zimefanya Tanzania iwe na pointi 29 na kushika nafasi ya tisa katika viwango vya mafanikio ya nchi kutokana na ushiriki kwenye mashindano ya klabu Afrika ambavyo nchi 12 zilizo juu ndizo kila moja inapata nafasi nne za uwakilishi kwenye mashindano ya Afrika.

Yanga watakuwa wamejipatia point 1 yaani 0.5 ya mwaka huu na ile ya 2018 walioshika mkia kwenye kundi.

MAGAZETI LEO: MASTAA SIMBA SC WAPEWA ONYO CAF…MUSONDA AWAAPIA KUWAANGAMIZA WAARABU…KIUNGO HATARI MLANGONI MSIMBAZI MCHEZAJI MAMELODI APATWA NA KICHAA…ANAISHI CHINI YA DARAJA…INASIKITISHA SANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply