NABI AWACHANA WACHEZAJI...HAKUNA KUKWEPESHA JICHO..."SIPENDI MAKOSA YAJIRUDIE
CAF

NABI AWACHANA WACHEZAJI…HAKUNA KUKWEPESHA JICHO…”SIPENDI MAKOSA YAJIRUDIE

Marce Ben Komba March 17, 2023 11:24 am

Hakuna kukwepesha jicho. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Yanga wakijiandaa kuwavaa US Monastir siku ya Jumapili mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Yanga wamepania kuhakikisha kuwa wanaibuka na ushindi katika mchezo huo, na katika kufanikisha hilo Kocha Mkuu wa Kikosi hicho anasema;

“Hii ni mechi ya fainali kwetu, tunakwenda kucheza mechi ngumu nyingine ya kundi letu, jambo zuri ni kwamba wachezaji wanajua kuwa wana deni la kujisahihisha kufuatia makosa ya mchezo wa kwanza wakijua sasa watacheza nyumbani mbele ya mashabiki wao ambao wamekuwa na heshima kubwa ya kuwafuata kokote wanakokwenda.”

amesema Nasreddine Nabi.

MUSONDA:- NITAIBEBA YANGA MABEGANI…TP MAZEMBE NILIWAONYESHA…”MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA KOCHA YANGA… AITWA TAIFA STARS…AOMBWA KUONGEZA NGUVU UFUNDI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply