Meridianbet
Habari za michezo

MERIDIANBET WAZIDI KUSHAMIRI DAR KAMA UYOGA…WAKAZI WA FIRE KARIAKOO SASA KUVUA MAMILIONI MLANGONI…

admin March 26, 2023 10:00 am

Wapendwa wateja wa Meridianbet baada ya kusubiri kwa hamu duka jipya hatimaye leo hii mtaa wa Fire kunameremeta kwani limezinduliwa duka kwaajili ya kubaetia michezo mbalimbali huku ODDS KUBWA kama mvua zikimwagika kila siku kazi inabaki kwako tu kuweka dau na kubashiri. Duka hili litawawezesha wakazi wa Fire na wengine wapita njia kubetia wakichagua machaguo zaidi ya 1000 wanayotaka.

Vilevile sio mara ya kwanza Meridianbet wanazindua duka ni kawaida yao kwani mpaka sasa wana maduka mengi sana kwaajili ya kubetia katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam kila mtaa ni wao tu rangi nyekundu ipo kila mahali na sasa wana Jakipoti kubwa kabisa.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

MeridianbetBaada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Fire, Bwana Twaha Ibrahim ambaye ni mkuu wa kitengo cha Maudhui Meridianbet kwanza alisema kuwa; “Duka hili ambalo tumezindua ni la nne kwa mwezi huu, na hakika natumaini mmefurahi sisi kuwaletea duka hili kwaajili ya kuwarahisishia kwenye shughuli zenu za kubetia”

Twaha hakuishia hapo aliwashukuru watu wote ambao walihudhuria kwenye uzinduzi huo na kuwaambia kuwa hawajakosea kuchagua Meridianbet kwenye kubashiri kwani Meridianbet hutoa kile ambacho wanakitaka na pia ODDS KUBWA zipo hapa.

Pia tembelea tovuti ya Meridianbet www.meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.

Meridianbet pia wana kile ambacho unakipenda ambapo michezo ya kasino ya matandaoni hapa ndipo mahali pake kuna sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri  mubashara mechi hizo.

KIUNGO MNIGERIA AKATAA KUONGEZA MKATABA ILI ASAJILIWE NA SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI… YACOUBA AWAPIGA KIJEMBE SIMBA…”TUTAWAPIGA HADI HAO WANAOJIITA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply