Habari za Simba
Habari za michezo

HUU HAPA UKWELI KUHUSU BEKI OUATTARA NA ANAYOYAPITIA SIMBA…TAARIFA RASMI YATOLEWA…

admin March 28, 2023 5:09 pm

Beki wa Simba raia wa Burkina Faso, Mohamed Outtara ameanza mazoezi baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda akisumbuliwa na majeraha

Ouattara hakuwa sehemu ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya uliochezwa Uwanja wa Mkapa na Simba kuibuka na ushindi wa mabao 7-0 na kujihakikishia tiketi ya kucheza robo fainali ya nne ya mashindano ya CAF katika miaka mitano iliyopita

Ouattara ni miongoni mwa wachezaji walioanza mazoezi jana kujiandaa na mchezo wa kukamilisha ratiba ya makundi dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa April 01 huko Morocco

Ouattara na Kennedy Juma huenda wakapata nafasi ya kuanza katika mchezo huo badala ya Hennock Inonga na Joash Onyango

MO DEWJI AIBUKA NA MAPYA SIMBA….ATAJA WANAOMKWAMISHA KUWEKEZA… MAKOSA YAWATESA RUVU SHOOTING…KOCHA MKUU AFUNGUKA…ISHU NZIMA IPO HIVI A-Z

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply