Home Habari za michezo IKIWA USIKU WA ULAYA NI LEO…HAKIKISHA UNAKAMATA ODDS ZA KUSHIBA KUTOKA MERDIANBET…

IKIWA USIKU WA ULAYA NI LEO…HAKIKISHA UNAKAMATA ODDS ZA KUSHIBA KUTOKA MERDIANBET…

Meridianbet

Ligi ya mabingwa Barani Ulaya kuendelea hii leo na kesho ambapo kila timu inahitaji kusonga mbele kwenye hatua inayofuata. ODDS KUBWA unazipata Meridianbet pekee ingia na ucheze ujiweke kwenye nafasi ya kukusanya mpunga mrefu kabisa utakaobadili ndoto zako.

Leo hii pale Etihad vijana wa Pep Guardiola watawaalika RB Leipzig ambao mechi ya kwanza walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 huku kila timu leo hii ikijipanga kuondoka na ushindi ili iweze kutinga robo fainali. Je nanai ana nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi leo hii? Bashiri na Meridianbet sasa.

Mechi iliyopita ya ligi City wametoka kupata ushindi na kusalia kwenye nafasi yao ile ile ya pili kwenye msimamo, huku RB wao wakitoka kutoa dozi nzito wakiwa nyumbani kwao na hivyo kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi.

 Endelea kuchezo Michezo ya kasino ya mtandaoni inayotolewa na Meridianbet ikiwemo Sloti, Poker, Aviator, Roulette na mingine mingi ambayo inaweza kukupatia pesa.

 Leo hii hii kutakuwa na mechi nyingine ambayo itawakutanisha FC Porto ya Ureno dhidi ya Inter Milan ya Italia ambayo ipo chini ya Inzagi huku timu hizi walipokutana mara ya kwanza Porto alikufa ugenini, na leo hii yupo nyumbani. Je ataweza kulipa kisasi?

Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Inter akiwa na ODDS ya 2.65, sare ikiwa na 3.19, na Porto akipewa 2.74. Wewe tiketi yako ya ushindi unaipeleka kwa nani? Ingia na ucheze na Meridianbet.

Kesho kuna mbungi nyingine itapigwa unajua ni nani na nani? Hawa hapa

 Ni Real Madrid dhidi ya Liverpool ambapo Majogoo watakuwa Santiago Bernabeu kujiuliza maswali ambayo mashabiki wa mpira nao watakuwa wanajiuliza kama wanaweza kupindua meza kibabe mbele ya vijana wa Carlo Ancelotti.

Mechi ya kwanza Madrid walionyesha ukubwa wa ajabu baada ya kutokea nyuma kwa mabao mawili na kuisambaratisha Liver kwa kuichapa mabao 5-2 wakiwa Anfield. Endapo Kloop na timu yake wanahitaji kwenda robo fainali inabidi washinde nne bila. Endapo watashinda tatu bila watacheza dakika 120. Je hiyo nafasi ipo ya wao kushinda mabao yote hayo huku Madrid wakiwangalia tu? Beti mechi hii na Meridianbet sasa.

Nao vinara wa Serie A, Napoli watawaleta Eintracht Frankfurt nyumbani kwao huku mechi ya kwanza Spaletti aliondoka na pointi tatu na ushindi wa mbao 2-0, huku Timu hiyo ya Ujerumani wakipata adhabu ya kadi nyekundu.

Mlima ni mrefu kwa Frankfurt kuupanda kutokana na kiwango bora ambacho Napoli wamekuwa nacho msimu huu huku wakiwa wamepoteza mechi mbili pekee tu kwenye ligi. Malengo ya Napoli msimu huu ni kuchukua Scudetto pamoja na UEFA, kwenye ligi tayari kati ya 10 wana 9.

Meridianbet wanatoa michezo ya kasino ya mtandaoni sloti, Aviator, Roulette na mingineyo ambayo inaweza kukupatia ushindi wa pesa kibao na ni kwa dau dogo tu.

SOMA NA HII  BAADA YA KUONA MBEYA CITY WAMEWEZA...POLISI TZ WAAMUA KUINGIA NA STAILI HII DHIDI YA SIMBA...