Habari za Yanga SC
Habari za michezo

WAKATI SIMBA WAKIOGOPEKA CAF….NABI ATAJA TIMU ANAYOTAKA KUKUTANA NAO SHIRIKISHO…

admin April 5, 2023 9:03 pm

Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amefunguka kwamba wana timu ambayo inaweza kupambana na yoyote kati ya hizo lakini akasema ungekuwa uwezo wake angeomba wapangwe aidha na Rivers United au USM Alger.

Akizungumza na chombo kimoja cha habari kwa njia ya simu, Nabi amesema anawatamani sana Rivers ili aweze kulipa kisasi kwani waliwahi kumwondoa vibaya msimu wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

“Nakumbuka ilikuwa ni mwanzo na tulikuwa na changamoto nyingi nadhani hii nafasi tukikutana nao nitafurahi ili nao wajue ubora wetu halisi wa sasa, ukweli lingekuwa ombi langu ningecheza na hawa,” alisema Nabi

Aidha Nabi aliongeza kama sio Rivers basi atafurahi kuwapokea USM Alger, “Ukikutana na timu za Kaskazini ni jambo zuri kuanzia kwao kisha kumalizia kwetu.”

BAADA YA KUWA KIMYA MUDA MREFU….OKRAH AANZA KUKINUKISHA SIMBA….JAMBO LAKE LA KWANZA HILI HAPA… KUELEKEA MECHI NA YANGA…..MBRAZILI SIMBA AINGIA KITETE NA ‘MTETEMO’ WA MAYELE…ONA ALICHOSEMA😂😂😂…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply