Habari za michezo
MABOSI LIGI KUU WAMPIGIA SALUTI BALEKE…ASHINDA TUZO HII KUBWA BONGO
Marce Ben Komba
April 9, 2023
9:40 am
Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi).
Baleke alikuwa na Kiwango bora kwa mwezi machi ambapo alipachika mabao matatu akicheza dakika 81.
Baleke ananyakua tuzo hiyo akiwapiku, Daruwesh Saliboko wa KMC na Jeremiah Juma wa Tanzania Prisons alioingia nao Fainali.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.