Habari za michezo
KUHUSU ISHU YA MKATABA WA BALEKE NA SIMBA ..UKWELI HUU HAPA…MAZEMBE BADO WAMO….
admin
April 11, 2023
3:39 pm
Mkataba wa Jean Baleke na TP Mazembe bado unaendelea hadi Juni 2026.
Baleke alisaini Simba SC kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja na kuna chaguo kwamba wanaweza kuongeza mkataba wa mkopo kwa mwaka mmoja zaidi.
Mazembe waliweka wazi, bado wanataka Baleke arejeshwe baada tu mkopo wake utakapomalizika pale Simba.
Bodi ya Simba imefurahishwa na uchezaji wa Baleke na kutaka kumbakisha lakini yote inategemea kama wanaweza kufikia makubaliano ya kumnunua TP Mazembe.
Bado hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanyika kwa upande wa mchezaji na Simba SC
Baleke ana furaha sana nchini Tanzania na anafurahia soka la Tanzania.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.