Habari za Usajili Simba SC
Habari za michezo

ZA NDAANI KABISAA….SIMBA WAMALIZANA NA BEKI WA IHEFU….TSHABALALA AJIANDAE PA KWENDA…

admin April 12, 2023 7:16 pm

Usiku wa kuamkia jana ‘Jumanne’ kabla ya kuanza safari ya kurudi Dar Mabosi wa Simba wamemalizana na beki wa kushoto wa Ihefu, Yahya Mbegu na tayari amemwaga wino kwa mkataba wa miaka miwili.

Mbegu anakwenda kuwa mbadala sahihi wa Mohammed Hussein ambae kwa muda mrefu ametawala eneo hilo.

Kwa takribani zaidi ya misimu mitano sasa, Mohamed Hussein amekuwa akitumika mara kwa mara huku Gardiel Michael akishindwa kufua dafu mbele yake.

Hata hivyo, inatajwa kuwa Tshabalala anatakiwa na timu moja kubwa ya Afrika kusini, hivyo pengine Simba wameona wapate mbadala sahihi wa kuweza kushika nafasi hiyo.

NABI ATEMA CHECHE HIZI YANGA…”SIO RAHISI KUPATA USHINDI VIWANJA BONGO KAMA ULAYA…BIL10 ZAANZA KAZI KWENYE VIWANJA HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply