Habari za michezo
NABI AVUNJA UKIMYA YANGA…AMEFUNGUKA HAYA YA MOYONI…MCHEZAJI HUYU ANAMKOSHA
Kocha wa Yanga, Nasridenne Mohammed Nabi ameshtushwa na kukuoshwa na Kazi ya maana anayoifanya kitasa chipukizi Ibrahim Abdullah “BACCA”
Nabi alisema Bacca ameonyesha uimara mkubwa sana tangu aannze kumpa nafasi na amemtaka aendelee kubaki katila muendelezo wa kiwango chake huku akiwataka na wenzake pia kujipanga haswa.
Unaona sasa tuna wigo mpana wa kuchagua nani aanze pale kwa mabeki wa kati ila kwangu mimi Bacca amekuja vizuri sana. Kaonyesha uwajibikaji mkubwa katika mechi nilizompa nafasi.
“Kazi kubwa anayofanya Bacca ni dalili njema ya mambo matamu yanayokuja kwa mashabiki wa Yanga.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.