UTATA MPYA WAIBUKA MKATABA WA JOB...AGOMA KULIPWA MIL6 NA YANGA
Habari za michezo

UTATA MPYA WAIBUKA MKATABA WA JOB…AGOMA KULIPWA MIL6 NA YANGA

Marce Ben Komba April 13, 2023 3:22 pm

Pamoja na Yanga kuonyesha jitihada za kumwongezea mshahara beki wake Dick Job kutoka Sh milioni 4 hadi 6 milioni, nyota huyo ameweka ngumu na anataka ifike Sh milioni 10 jambo linaloleta ugumu kwa mabosi wa Yanga kuendelea kumshawishi kusalia ndani ya kikosi hicho.

Mkataba wa Yanga na Dickson Job unatamatika mwishoni mwa msimu huu na kuna uwezekano akatafuta malisho mengine.

Meneja wa Dickson Job, George Job aliweka wazi hivi karibuni kuwa hawana haraka ya kusaini Mkataba mpya kwa sasa.

BALEKE AMFUKUZISHA KAZI KOCHA IHEFU…NI BAADA YA KUFANYIWA UKATILI HUU MKUBWA KOCHA RIVERS  ATOA KAULI HII YA KEJELI DHIDI YA YANGA…”HAWANA UWEZO WOWOTE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply