Habari za Simba SC
Habari za michezo

KOCHA SIMBA:- BADO TUPO KWENYE MBIO ZA UBINGWA…HADI MWISHO MPAKA IFIKE MWISHO

Marce Ben Komba April 15, 2023 9:55 am

Kocha msaidzi wa Simba SC Juma Mgunda amesema kuwa maandalizi yanakwenda vyema kwa wachezaji wake kupokea kila kitu ambacho benchi la ufundi linafundisha na wanatambua mchezo dhidi ya Yanga ni mchezo mzito ambao utaamua hatma yao ya ubingwa.

Akizungumza Mgunda amesema;

“Tunaendelea kujiandaa vizuri, kuna msemo unasema haui mwisho mpaka ifike mwisho. Kwahiyo bado tupo kwenye mbio za ubingwa, hivyo bingwa atapatikana mpaka ligi itakapotamatika mwezi wa tano”

Simba watakuwa wenyeji wa Yanga Jumapili hii mchezo wa Ligi Kuu Uwanja wa Benjamin Mkapa.

KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA YANGA…HUU HAPA UDHAIFU WA WATANI WA JADI VIGOGO WA SOKA AFRIKA…WAIOGOPA MECHI SIMBA NA YANGA…WAPATA VIGUGUMIZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply