Habari za michezo
BAADA YA KUOTEWA NA SIMBA JUZI….HIZI HAPA MECHI KOKI ZA YANGA SC ZILIZOBAKI…WAKIFELI NDIO BASI TENA…
admin
April 18, 2023
6:07 pm
BAADA ya juzi Jumapili kufundwa na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu kwa goli 2-0, Yanga SC sasa wamebakisha jumla ya mechi nne kuamua hatma yao ya kutete ubingwa wa Ligi.
Mechi Hizo ni pamoja na ..
TBA, 2023 16:00 Singida Big Stars FC vs Young Africans SC (Liti Stadium, Singida)
TBA | Young Africans SC vs Dodoma Jiji FC (Mkapa Stadium Dar es Salaam)
TBA, 2023 TBA Mbeya City FC vs Young Africans SC (Sokoine Stadium, Mbeya)
May 28,2023 16:00 Tanzania Prisons FC vs Young Africans SC (Sokoine Stadium, Mbeya)
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.