Habari za Simba SC
Habari za michezo

KISA NABI KUMPONDA MWAMUZI MECHI YA SIMBA SC vs YANGA …AHMED ALLY AMTAKA SHEIKH KISHK AWE REFA…..

admin April 18, 2023 5:40 pm

Baada ya Kocha wa Yanga kupokea kichapo Dabi ya Kariakoo na kuwashushia lawama waamuzi wa mchezo.

Hii leo Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC ametoa neno kwa kauli ya kocha huyo wa Yanga.

Akizungumza Ahmed Ally amesema

“Kocha wao amesema mechi ijayo achezeshe Refa mwenye hofu ya Mungu, Sawa hakuna shida atachezesh Sheikh Nurudin Kishk” alitamba Ahmed

Itakumbukwa kuwa siku ya Jumapilil, Simba SC waliibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Yanga katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Katika mchezo huo uliokuwa wa kukata na shoka, magoli yalifungwa na Inonga na Kibu Denis katika kipindi cha kwanza cha mchezo.

 

ALLY SALIM AWEKA REKODI HII MPYA KWA SIMBA SC…SI MANULA WALA KAKOLANYA WANGEWEZA… GEOF LEA :- TIMU BORA (YANGA) ILIFUNGWA NA TIMU YA HAMASA (SIMBA)…HATA LIVER WALIIOKOTA MAN U…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply