Habari za michezo
YANGA VS RIVERS UNITED KUKIWASHA LEO…HUJUMA ZAWASHTUA WANANCHI
Marce Ben Komba
April 23, 2023
10:19 am
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans
Baada ya kupokea kichapo kikali toka kwa mahasimu wao simba Sports Club
Leo mida ya saa 10:00 JIONI wananchi wenye nchi yao YOUNG AFRICANS watashuka pale dimba la ESTADIO DE GODSWILL AKPABIO nchini NIGERIA
Kutafuta alama tatu za ushindi mnono ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia nusu fainal kwa mara ya kwanza katika fainali ya michuano ya shirikisho barani Africa
Ikumbukwe kuwa hawa walishakutana katika michezo miwili huko
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.