Na haya ni baadhidi ya maeneo ambayo wamepita na kutoa refletors hizo ni pamoja na Kawe, Kinondoni, Sinza, Mwenge na Tangibovu, vilevile wameongeza kwa kusema kuwa wanapanga mkakati mzuri wa kuwafikia bodaboda wote wa jiji hili la Dar es salaam ili wanufaike na Meridianbet.