KWA MARA YA KWANZA...NAHODHA YANGA AFUNGUKA SIRI HII YA KUWACHAPA RIVERS
Habari za michezo

KWA MARA YA KWANZA…NAHODHA YANGA AFUNGUKA SIRI HII YA KUWACHAPA RIVERS

Marce Ben Komba April 25, 2023 6:42 pm

Nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amesema timu yao ilibadili mfumo ndiyo maana wakafanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United ya Nigeria.

Akizungumza mwamnyeto amesema;
“Tuliwaweza wapinzani wetu kwa kubadili mfumo ambao tulianza nao hivyo tulipata matokeo kwa sababu tulibadilika hadi namna ya ushambuliaji.

“Nimefurahi kucheza kwa mara ya kwanza robo fainali na kutoa pasi mbili na kufanya timu yangu kupata matokeo ugenini na mpango wetu kama timu ni kufika fainali, wakati napanda, niliwaona hata wenzangu wamechoka wanahitaji msaada wangu, hii ndiyo maana ya kucheza kitimu,” alisema nahodha Mwamnyeto.

MCHEZAJI STARS AKUMBWA NA MAJANGA HAYA UBELGIJI…ISHU NZIMA HII HAPA BARCELONA KUMREJESHA MESSI…WAANDAA DONGE HILI NONO…HACHOMOI!!!

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply