Habari za michezo
MCHEZAJI STARS AKUMBWA NA MAJANGA HAYA UBELGIJI…ISHU NZIMA HII HAPA
Marce Ben Komba
April 25, 2023
6:34 pm
Kiraka wa timu ya Taifa Tanzania Novartus Dismas amepata majanga kwa klabu yake ya Zulte Waregem kuteremka Daraja la Ligi Kuu ya Ubelgiji baada ya msimu wa ligi hiyo kumalizika jana na Zulte kukubali kichapo cha mabao 3-2.
Ligi hiyo imemalizika kwa timu za Oostende iliyomaliza msimu na alama 27, Zulte alama 27 na RFC seraing nayo ikimaliza msimu na alama 20 kuteremka daraja.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.