EE BWANA!! MAYELE AWEKA REKODI HII YA KIBABE...AMEZUNGUMZA HAYA
Habari za michezo

MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA…KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA

Marce Ben Komba April 28, 2023 8:17 am

Goli la kwanza alilofunga Mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele kwenye mchezo dhidi ya Rivers United limechaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kuwa ndilo bora la wiki kati ya magoli yote yaliyofungwa mechi za raundi ya kwanza robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Kwenye mchezo huo, Mayele aliweka kambani magoli mawili ambapo la kwanza ndilo lililoshinda. Goli hilo alipokea asist kutoka kwa Kapteni Bakari Mwamnyeto kama ilivyokuwa kwa goli la pili.

HUYU HAPA REFA ATAKAYECHEZESHA MECHI YA YANGA…KUMBE ALICHEZESHA MECHI YA PSG NA INTER WAPINZANI WA YANGA HALI TETE…WANA NJAA HATARI TIMU HAINA PESA…JE WATAKUJA?

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

3 responses to “MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA…KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA”

  1. mbagala gyunda says:

    hawa yanga wana shida gani ssa mbona.wanaaibusha nchi

  2. mbagalagyunda says:

    hahahahaha

  3. mbagalagyunda says:

    wanatuabisha sna yanga kwann lakini migogoro shida iko wap au.mwekezaji hana hela zakutisha atupishe na yanga yetu

Leave a Reply