Habari za Simba SC
Habari za michezo

WAKALA WA BALEKE AFICHUA KILA KITU…”SIDHANI KAMA ATABAKI SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI

Marce Ben Komba April 28, 2023 8:45 pm

Wakala wa Jean Baleke athibitisha kuwa; hafikirii mchezaji huyo atabaki Simba SC zaidi ya mkataba wake wa mkopo.

Alisema: “Sidhani kama atabaki Simba. Aidha TP Mazembe itajaribu kumrudisha au kumuuza. Huu ndio ukweli

Aliongeza kuwa vilabu kutoka Asia na Ulaya vimeanza kufanya mawasiliano.

MCHONGO MZIMA WA KESHO UMEKETI KWENYE ODDS ZA KIJANJA ZA MERIDIANBET….ZINGATIA HILI.. Infinx WASHUSHA MZIGO MPYA…HABARI YA MJINI NI HOT 30….VODACOM KUTOA GB ZA BUREEE….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply