Habari za Michezo Bongo
Habari za michezo

SIKU CHACHE BAADA YA KUPATA DILI ULAYA…OPPA AFUNGUKA ISHU YA KURUDI ZAKE BONGO..

admin May 14, 2023 10:05 am

Muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania anayecheza katika klabu ya Beskitas ya Ligi Kuu Uturuki Opah Clement atarejea Bongo baada ya ligi yao kumalizika.

Opah alicheza mechi yake ya mwisho ya ligi kwa msimu huu juzi na kushuhudia timu yake ikipoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya ALG Spor.

Opah alisema, atarejea nyumbani kupumzika akisubiri msimu mpya wa ligi ambao unatarajia kurejea mwishoni mwa mwaka huu.

Opah aliondoka Simba Queens akiwa amefunga mabao 9, lakini akiwa Uturuki hajapata muda mrefu wa kukaa uwanjani na kuitumikia timu yake.

WAKATI UKIENDELEA KUVUNA MKWANJA NA ‘KUENJOY ODDS’…MERIDIANBET WAENDELEA KUIGUSA JAMII.. WAKATI IKIWA KARIBU NA KUWEKA HISTORIA MPYA TZ..BACCA NA NABI LAO MOJA YANGA SC…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply