Home Habari za michezo MANARA AKOLEZA CHUMVI UGOMZI WA CHAMA NA JEMEDARI SAIDI….

MANARA AKOLEZA CHUMVI UGOMZI WA CHAMA NA JEMEDARI SAIDI….

Habari za Michezo leo

Baada ya juzi Mei 13, Jemedari Sai wa kituo cha Redio cha E-FM na Kiungo  Mshambuliaji wa Simba Clatous Chama kurushiana maneno mitandaoni, Aliyekuwa msemaji wa Yanga Haji Manara ameibuka na kumshambulia mchambuzi huyo wa michezo nchini.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Haji ameandika;

Huyo amejulikana Kwa sababu kuu mbili, kuisema Yanga vibaya na kumtusi Haji Manara, otherwise angekuwa hata comments kumi hapati kwenye Posts zake, ni Mtu mwenye roho mbaya na ukitaka kuamini hilo hata @oscaroscarjr alimfukuzisha kazi @azamtvtz ,Kwa uongo wake wa kutunga.

Leo Oscar yupo byeee na maisha ya kibongo bongo yupo njema kuliko yeye anaelipwa ten ten anapoingia studio, mwenzie kila siku ladies & gentlemen , yeye Nairobi tu hakujui kunafananaje, akitoka Majohe kaenda Pugu kamalizia Kawe, hana exposure, hana ufahamu wa mambo zaidi ya kiherehere na njaa tu.

Pole sana Mwamba Chama, hao ndio Watu wenu sasa, hao ndio Wachambuzi wanaopost chochote ili mradi wapate followers na likes, hao ndio kuku wenyewe OG, ila shukuru Mungu hajawatag TFF, ingekuwa mchezaji wa Yanga hizo brothers alizotaja kama anakubembeleza usingeziona, na angesema ufungiwe hata mwaka.

Ni mtu wa hovyo zaidi kwenye Soka letu kuliko yoyote yule, amefanya hata Radio ya Watu ipoteze maelfu ya Wasikilizaji, nani atasikiliza mipasho asubuhi asubuhi? Ilhali @wasafifm na @cloudsfmtz wanamwaga nondo?

Yes, Na ukitaka kujua anafananaje kichwani cheki mitihani yake ya Uwakala wa Fifa, Zero plus, unapataje Zero kwa mfano ? Hata wewe Mwamba wa Lusaka huwezi kupata Sifuri katika mitihani.

ila now dawa yake nnayo ni kummegea Naa tu, njoo Inbox nikupe namba, akitukana huku, kisasi tunakifanya Kwa Naa tu, Kuku wahed.

Anyway, enjoy Soka na nimependa Comment yako, next time usimjibu tena,tushakubaliana majibu atakuwa anapewa na NAA only.

@realclatouschama siungi mkono vitendo viovu uwanjani najua utatake action ya kusema sorry kwa Yule mchezaji,,no matter wat

SOMA NA HII  MOHAMMED HUSSEIN "TSHABALALA"...NALIAMINIA JESHI LANGU...MECHI NA UGANDA TUTASHINDA