Injinia Hersi Rais wa Yanga SC
Habari za michezo

JUU YA SIMBA KUWA YA KWANZA CAF….INJINIA HERSI APANGUA HOJA KIBABE….

admin May 16, 2023 3:50 pm

Wakati ubishani ukiwa ni mkubwa mtaani baona ya vilabu vya Simba na Yanga juu ya nan kuwa Timu ya kwanza kufika hatua ya Fainali ya Michuano ya CAF.

Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said amemaliza utata huku akifafanua kwa undani sababu za Yanga kuwa Klabu ya kwanza nchini.

Akizingumza kupitia kipindi cha Sports Extra, Injinia Hersi amesema;

“Niweke sawa kulikuwa na kombe linaitwa CAF CuP kombe hilo ndio wenzetu walifika Fainali , kulikuwa na shindano lingine linaitwa CAF Winners Cup (Kombe la Washindi) mashindano haya yaliunganishwa mwaka 2004 yakatengeneza CAF Confederation Cup hili ni kombe kubwa liliounganisha mashindano mawili ( CAF Cup & CAF Winners Cup )

Yanga ndio Klabu ya kwanza kutoka Tanzania kushiriki mashindano haya kwenye ngazi ya Nusu Fainali , lakini Yanga iko mguu mmoja kuelekea Fainali , hajawahi kushiriki yoyote kutoka Tanzania kombe hili hatua ya Nusu fainali .

UHAKIKA….MORRISON KUTUA SINGIDA BIG STARS….ISHU YA PHIRI KUMBE NI ‘VIJIMANENO’ TU… SAKHO NAYE ANYOOSHA MIKONO SIMBA…WAKALA WAKE AGUNGUKA A-Z…AZAM FC WAHUSISHWA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply