Habari za Yanga
Habari za michezo

HIVI NDIVYO YANGA INAVYOZIDI KUING’ARISHA TZ KIMATAIFA…LIGI YA BONGO NAYO NG’ARII…

admin May 20, 2023 7:31 am

Baada ya Yanga kutinga fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika, imeongeza pointi zaidi kwa Tanzania ambapo sasa imepanda kwa nafasi tano kutoka nafasi ya 11 msimu uliopita mpaka nafasi ya sita.

Tanzania sasa iko juu ya DR Congo ambayo imeporomoka mpaka nafasi ya saba.

Katika mashindano ya CAF msimu huu Yanga imekusanya alama 20 wakati watani zao Simba ambao walitolewa robo fainali ya ligi ya mabingwa wamekusanya alama 15.

Aidha Yanga imepanda mpaka nafasi ya 18 katika viwango vya ubora wa klabu barani Afrika ikiwa na alama 20.5.

Wananchi wanaweza kupanda hadi nafasi ya 15 kama watatwaa kombe la Shirikisho barani Afrika.

KISA MAFANIKO YA YANGA CAF…WAKUU WA MIKOA WANYUKANA UKUMBINI…UBISHI ULIANZA HIVI… STAA WA VIPERS ALIYEWAKATILI TP MAZEMBE KUTUA SIMBA…MOSES PHIRI ‘APIGWA PINI’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply