Meridianbet
Habari za michezo

KAMATA ‘MAOKOTO’ YA UHAKIKA KUPITIA MGAWO WA MERIDIANBET NDANI YA CASINO YA EXPANSE..

admin May 30, 2023 11:54 am

Expanse studio imekuja na michezo ya sloti inayokupa nafasi ya kushinda mgao wa TZS 500,000/= kila ukicheza kasino ya mtandaoni. Chimbo la kupiga hela kirahisi ni kasino ya mtandaoni Meridianbet.

Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenye sloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roullete wanagawa mpunga wa kutosha mwezi huu, usipange kukosa. Michezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyo huu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, Th Book of Eskimo, Wild icy fruits. Mayas Treasure, Wild White Whale, PIA na Planet Power.

Jinsi ya Kushiriki kwenye Shindano Hili

 Kushiriki kwenye shindano hili la 5 unapaswa kucheza kasino ya mtandaoni, sloti za Expanse studio na kwa kuzingatia masharti yafuatayo:

  • Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP ya simu na tovuti ya meridianbet.co.tz
  • Kipindi chote cha shindano, wachezaji watashindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya watoa huduma ya Expanse kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.
  • Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.
  • Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino ya mtandaoni katika viwango vifuatavyo:
  • 1. Nafasi ya Kwanza 250,000 TZS
  • 2. Nafasi ya Pili 200,000 TZS
  • 3. Nafasi ya Tatu 150,000 TZS
  • 4. Nafasi ya nne 100,000 TZS
  • 5. Nafasi ya Tano 100,000 TZS
  • Bonasi iliyotolewa ni lazima izungushwe mara 30 kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni ili iwekwe kwenye akaunti ya mteja kwaajili ya kutolewa. Ushindi wa juu ni 500,000TZS.

 

SIMBA YAGWA BARUA KWA MASTAA…WAARABU WAONDOKA NA MAYELE DAR…MTZ AINGIZA MIL 200 KWA SAA 2… MHOLANZI WA USAJILI SIMBA AANZA NA KIFAA HIKI ….TRY AGAIN AMPA RUNGU LA KUSHUSHA VIFAA …

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply