Home Habari za michezo MBALI NA HESHIMA KESHO NI VITA KATI YA MAYELE NA RANGA…HUYU MSAUZI...

MBALI NA HESHIMA KESHO NI VITA KATI YA MAYELE NA RANGA…HUYU MSAUZI NI BALAA SIO KITOTO…

Habari za Yanga SC

Wakati Klabu ya Yanga SC wakijiwinda kukabiliana na Marumo Gallants kwenye mchezo wa nusu fainali CAFCC, vita nyingine itakuwa ni ya kuwania kiatu cha dhahabu kati ya Fiston Kalala Mayele na Ranga Chivaviro.

Mpaka sasa kila mmoja amefunga magoli matano katika michezo 8 kuanzia hatua ya makundi mpaka robo fainali ya michuano hiyo.

Nani kung’aa kwa Mkapa Jumatano hii?
Chivaviro vs Al Akhdar – mabao 2
Chivaviro vs FC Saint Eloi Lupopo – mabao 2
Chivaviro vs Pyramids – bao 1

Mayele vs AS Real Bamako – bao 1
Mayele vs AS Real Bamako – bao 1
Mayele vs US Monastir – bao 1
Mayele vs Rivers – mabao 2.

WAFUNGAJI BORA LIGI KUU NBCPL
Fiston Mayele – bao 16
Moses Phiri – bao 10
Saido – bao 10.

WAFUNGAJI BORA LIGI KUU PSL
Peter Shalulile – bao 12
Ranga Chivaviro – bao 10.

SOMA NA HII  BEKI HOROYA ASHANGAZWA NA CHAMA..."ALISABABISHA HATARI NYINGI...ANA UTULIVU WA AJABU HAKABIKI