Habari za Yanga SC
Habari za michezo

WAZUNGU WALIOLETWA NA SIMBA BONGO WAANZA NA MZIZE….SILI LAKE LAPELEKWA KIMYA KIMYA..

admin June 19, 2023 6:49 pm

KLABU ya West Armenia imeanza mazungumzo na kinda wa Yanga, Clement Mzize ili kuichezea timu hiyo msimu ujao.

Timu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Armenia inavutiwa na kiwango cha nyota huyo ambaye ameiwezesha Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Mzize amekuwa kwenye kiwango bora msimu huu akifunga mabao matano ya Ligi Kuu Bara na sita ya ASFC huku akiweza pia kushinda tuzo ya mchezaji bora chini ya miaka 20 katika tuzo za (TFF).

Hivi karibuni mabosi wa klabu hiyo walitiliana saini mkataba wa mashirikiano baina yao na Simba  SC, ambapo klabu hizo mbili zitakuwa zikibadilishana  wachezaji , makocha, wachezaji vijana na maafisa mbalimbali kwa lengo la kupata uzoefu.

KISA KUTAKA KUJIUNGA SIMBA….BANGALA ‘AFOKEANA’ NA MABOSI YANGA…ATAKA MKATABA WAKE UVUNJWE… WAKATI LEO WAKITANGAZA KUANZA ‘MABALAA’….KIGOGO SIMBA AFUNGUKA USAJILI WAO ULIVYO..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply