Azam FC
Azam FC

AZAM FC WAENDELEA KUFANYA MAKUBWA…WASHUSHA ‘KOCHA JIPYA’ LA MPIRA…NI BALAA…

Staff Desk July 6, 2023 12:58 pm

AZAM FC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya Julai 5, 2023 kumtambulisha kocha msaidizi kikosini hapo.

Miamba hiyo ya kusini mwa Dar es Salaam imetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na kocha Mfaransa Bruno Ferry.

Kwenye taarifa iliyotolewa na Azam Fc kupitia kurasa zake za mitandao imesema

“Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeingia mkataba wa miaka mitatu na Bruno Ferry atakayekuwa kocha msaidizi”

Kocha huyo mwenye miaka 56, atasaidiana na kocha mkuu wa timu hiyo youssouph Dabo kukisuka kikosi hicho msimu ujao.

ACHANA NA MASTAA WAPYA….MAKOCHA WAPYA WATAKAO MSAIDIA MBRAZILI SIMBA HAWA HAPA.. WINGA HUYU HATARI ATHIBITISHA KUSAJILIWA NA SIMBA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply