Mohamed Shillaarejea AIK Sweden Baada ya Majukumu ya Taifa U-23
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya AIK ya nchini Sweden, Mohamed Shilla, amerudi rasmi nchini humo kuendelea na majukumu ya klabu baada ya kumaliza wajibu wake…
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya AIK ya nchini Sweden, Mohamed Shilla, amerudi rasmi nchini humo kuendelea na majukumu ya klabu baada ya kumaliza wajibu wake…
Kikosi cha Mashujaa FCkinakabiliwa na kipimo kigumu cha ubingwa kufuatia ratiba ya mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara zitakazowakutanisha na vigogo watatu wa soka…
Msisimko wa Ligi Kuu Tanzania Bara unarejea kwa kishindo leo baada ya kupisha mapumziko ya takribani wiki tatu ya kalenda ya Shirikisho la Soka la…
Kikosi cha Azam FC kimepata nguvu mpya baada ya mastaa wake sita waliokuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) nchini Morocco…
Mossi Ndumumwe amewataja Fei Toto, Mudathir Yahya, Seleman Mwalimu na Ahmed Pipino kuwa ni wachezaji wenye uwezo wa kwenda nje na kufanya makubwa.
Azam FC inaelekea Mkwakwani dhidi ya Coastal Union Oktoba 8 ikitafuta reaction baada ya kipigo cha Simba kabla ya kuanza vita ya CAF na ZED…
Azam FC inaingia kwenye Oktoba yenye ratiba nzito ya Ligi Kuu na CAF, ikianza Coastal Union kabla ya michezo miwili dhidi ya ZED FC ya…
Klabu ya TRA United imeanza rasmi mchakato wa kusuka upya benchi lake la ufundi baada ya kuingia mikataba na wataalamu wenye uzoefu mkubwa kutoka klabu…
Mohammed Shilla mwenye miaka 18 ameondoka Azam FC na kujijenga AIK Sweden, akiwa na mkataba hadi mwisho wa 2030 baada ya kufuatiliwa kwa muda mrefu.
Azam FC inarejea baada ya kipigo cha 2-0 dhidi ya Simba, huku Coastal Union ya Oktoba 8 ikiwa kipimo cha reaction ya Florent Ibenge.