Habari za michezo

KIVUMBI LEO TWIGA STARS KUKIWASHA DHIDI YA CRESTED CRANES

Staff Desk July 7, 2023 2:12 pm

Timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” leo inashuka dimbani katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kuikabili timu ya taifa ya wanawake Uganda “Crested Cranes’.

Mchezo huo utapigwa uwanja wa MTN Omondi uliopo Lugogo jijini Kampala, Uganda.

Twiga Stars itawakosa nyota 14 wakiwemo 12 waliopo kwenye timu ya Jeshi Tanzania katika mashindano ya dunia ya majeshi kwa wanawake huko Uholanzi.

SINGIDA FOUNTAIN GATE YABADILI GIA ANGANI SIMBA, YANGA WAWEKA WAZI MALENGO YA USAJILI WAO DIRISHA KUBWA LA USAJILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply