Tetesi za usajili Yanga
Habari za michezo

WAKATI SHABAN DJUMA AKIENDELEA KUZILA ….CHUMA HIKI HAPA KINATUA TZ KUMRITHI PALE YANGA…

admin July 11, 2023 9:43 pm

Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans leo Jumanne (Julai 11) ulitarajiwa kumpokea beki wa kulia wa ASEC Mimosas ya vory Coast, Kouassi Atohoula, kwa ajilΓ­ ya kukamilisha shughuli ya Kusaini mkataba, kisha kutambulishwa rasmi kama mrithi wa Djuma Shaban.

Chanzo kutoka Young Africans kimeeleza kuwa, tayari nyota huyo ameshakamilisha kila kitu kwa ajili ya kutua klabuni hapo, na alitarajiwa kutua jana Jumatatu (Julai 10).

Tunamshukuru Mungu baada ya Djuma Shaban kuonesha hali ya kugomea mkataba mpya na kupishana kauli kwenye mambo kadhaa na uongozi, mara moja tuaanza taratibu za kutafuta mbadala wake ambapo tayari tumekamilisha usajii wa beki wa kulia kutoka ASEC Mimosas ya lvory Coast, Kouassi Attohoula na atatua nchini juma hili tayari kwa kuinga kambini na wenzake, kimesema chanzo hicho.

Afisa Habari wa Young Africans, Ally Kamwe amesema: β€œLeo wachezaji wote wataanza kuingia nchini kwa ajii ya kambi ya maandalizi ya msimu ujao, wataungana na wachezaji wapya wote ambao usajili wao umekamilika, kisha tutaanza kutangaza mmoja baada ya mwingine.”

HIZI HAPA SABABU ZA CAF KUBADILISHA JINA LA MASHINDANO YA SIMBA… JEMBE ASEC IMEBAKI SAA TU, UTAMBULISHO WAKE YANGA KUTIKISA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply