Habari za michezo

ACHANA NA SHABAN CHILUNDA MWAMBA MWINGINE HUYU HAPA KATUA MSIMBAZI

Staff Desk July 21, 2023 6:43 am

KLABU ya Simba imetangaza kukamilisha usajili wa Kiungo Abdallah Hamisi kwa kandarasi ya miaka miwili.

Nyota huyo wa zamani wa timu za Muhoroni Youth Fc, Bandari Fc na Sony Sugar za Kenya amejiunga na Simba akiwa mchezaji huru.

Kupitia kurasa za mitandao za timu hiyo imechapishwa taarifa ya kuinasa saini ya kiungo huyo wa kimataifa wa Tanzania.

Mchezaji huyo anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa Julai 20, 2023 baada ya mapema Shabani Iddi Chilunda kutambulishwa msimbazi.

KWELI MAISHA YANAENDA KASI SANA MKUDE AINGIA KATIKA ORODHA HII SIMBA HAWATAKI UTANI KABISA, WENGINE WATATU WATAMBULISHWA SIO POA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply