Habari za michezo
RASMI YANGA WAMUUZA BANGALA AFUATA NYAYO ZA FEI TOTO….. ATUA HAPA MAPOKEZI YAKE SASA
KLABU ya Yanga imetangaza kumuuza mchezaji wake Yannick Bangala katika timu ya Azam.
Bangala hakuwemo kwenye utambulisho wa wachezaji katika kilelele cha Wiki ya Mwananchi Julai 22, 2023 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
“Uongozi wa Young Africans SC unapenda kuutarifu Umma kuwa tumefikia makubaliano na Klabu ya Azam FC kumnunua mchezaji wetu Yannick Bangala,” imesema Yanga kupitia mitandao yake ya kijamii.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.