BANGALA AMKINGIA KIFUA FEI TOTO
Kiungo wa Azam Yannick Bangala amefurahishwa na kiwango cha Feisal Salum ‘Fei Toto’ akisema jamaa ameanza kuwa mtamu huku akimpa ushauri juu ya mashabiki wanaomzomea…
Kiungo wa Azam Yannick Bangala amefurahishwa na kiwango cha Feisal Salum ‘Fei Toto’ akisema jamaa ameanza kuwa mtamu huku akimpa ushauri juu ya mashabiki wanaomzomea…
Kiungo Mkabaji wa kutoka DR Congo Yannick Bangala ameondolewa katika mipango ya Azm FC kuelekea mchezo wa Mzunguuko wasita wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi…
KIUNGO wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Yanick Litombo Bangala Jana ameanza mazoezi katika klabi yake mpya, Azam FC Uwanja wa Azam…
“BANGALA karibu Mbagala,” ndivyo lilivyosomeka chapisho la Azam FC kwenye ukurasa wake wa Instagram lilitangaza ujio wa kiraka Yannick Bangala kutoka Yanga SC. Bangala amesaini…
KLABU ya Yanga imetangaza kumuuza mchezaji wake Yannick Bangala katika timu ya Azam. Bangala hakuwemo kwenye utambulisho wa wachezaji katika kilelele cha Wiki ya Mwananchi…
YANNICK Bangala ambaye amekiri yuko kwenye hatua za mwisho kuachana na Yanga, ameangalia usajili wa mastaa 7 wapya waliotambulishwa mpaka sasa akasema winga Maxi Nzengeli…