Azam FC

BANGALA SASA KUKIPIGA DHIDI YA YANGA AGOUST 9, CHEKI AKIJIFUA KAMBINI NA AZAM

Staff Desk August 3, 2023 8:55 am

KIUNGO wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Yanick Litombo Bangala Jana ameanza mazoezi katika klabi yake mpya, Azam FC Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam baada ya kusajiliwa kutoka Yanga.

ameanza majukumu yake Mapya baada ya kujiunga nao Kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Klabu ya Yanga.

Azam wanajiandaa na mchezo wa mtoano wa Ngao ya Jamii utakapigwa Agosti 9 Jijini Tanga.

ALIKIBA ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA KUHAMIA SIMBA, ASEMA HAYA KUHUSU YANGA SIMBA WANATAKA HESHIMA MSIMU 2023/24 TRY AGAIN AFUNGUKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply