alikiba
Burudani

ALIKIBA ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA KUHAMIA SIMBA, ASEMA HAYA KUHUSU YANGA

Staff Desk August 3, 2023 8:44 am

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amejiunga rasmi kuwa shabiki wa klabu ya Simba na kukabidhiwa kadi na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Imani Kajula usiku huu jijini Dar es Salaam.

Kiba pia ametangazwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika kilele cha tamasha hilo Jumapili, Agosti 6 katika Uwanja wa Mkapa.

Pia Kiba ametambulisha wimbo wa Simba Mnyama ambao unaendana na kauli mbiu ya Tamasha hilo kwa mwaka huu ya ‘Unyama Mwingi’.

Kiba alikuwa shabiki wa Yanga.

 

ROBERTINHO ATAJA SABABU 10 SIMBA BINGWA, GAMONDI AMFICHA MAXI DAR, SAMBA LAKISASA LAKOLEA KAMBINI BANGALA SASA KUKIPIGA DHIDI YA YANGA AGOUST 9, CHEKI AKIJIFUA KAMBINI NA AZAM

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply