Habari za Simba SC
Habari za michezo

FT: SIMBA WAIFUATA YANGA KIBABE….PHIRI KAMA KAWA….ONANA MHHHH…..!!!!

admin August 10, 2023 9:45 pm

NI Kariakoo Dabi ndani ya Tanga inasubiriwa kwa shauku kutokana na kila mmoja kushinda kigingi cha kwanza cha nusu fainali.

Katika nusu fainali ya pili dakika 90 zilikuwa ni ngumu kwa nyota wote katika kucheka na nyavu kati ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate.

Ubao umesoma Simba 0-0 Singida Fountain Gate na kupeleka changamoto za penalti kuamua mshindi ambaye ni Simba.

Simba chini ya Roberto Oliveira imeshindwa kwa penalti 4-2 dhidi ya  Singida Fountain Gate huku ile penalti ya kwanza ikiokolewa na Ally Salim mpigaji akiwa ni Aziz Andambwile.

Mpigaji wa penalti ya Simba alikuwa ni Luis Miquissone alieytokea benchi na kupachika bao kwenye mkwaju wa penalti uliomshinda Beno Kakolanya.

Agosti 13, Uwanja wa Mkwakwani ni Yanga v Simba fainali ya Ngao ya Jamii.

KUMBE SIMBA NI MBABE WA SINGIDA, TAKWIMU ZIPO HIVI TUMEWAFUATA HUKOHUKO,…. MUARGETINA ATOA ONYO ZITO FAINALI NGAO YA JAMII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply