Habari za Simba
Habari za michezo

PHIRI AFUNGUKA HAYA KUHUSU PENALTI ALIYOKOSA KWENYE NGAO YA JAMII

Staff Desk August 14, 2023 7:24 pm

Mshambuliaji wa Simba Moses Phiri ameandika katika mtandao wa Instagram kuwa amechelewa kuchapisha picha akiwa na Ngao ya Jamii kwakuwa alitingwa katika kuutafuta mpira uliopotea Usiku wa jana katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga dhidi ya Yanga.

“Pole jamani nimechelewa kwa sababu nilienda kutafuta mpira nilioukosa jana. Firstly Thank you to all Simba fans who celebrated with us yesterday night good effort to all the players including the board members who came through asanteni” Ameandika Phiri.

Itakumbukwa mara baada ya kutamatika dakika 90 ya fainali ya Ngao ya Jamii mchezo huo uligeukia katika changamoto ya mikwaju ya penati ambapo Simba iliibuka ushindi wa penati 1-3.

Kwa matokeo hayo Simba imetawazwa kuwa bingwa mpya wa Ngao ya Jamii na kufikia rekodi ya Yanga ya kubeba taji hilo mara Saba.

KUHUSU ALLY SALIM ‘KUIKAZIA’ YANGA JANA…KUMBE SIRI YA NYUMA YA PAZIA NI HII…. BAADA YA KUTWAA NGAO YA JAMII, SIMBA WASEMA HAYA KUHUSU MAKOMBE YALIYOBAKIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply