Habari za Yanga
Habari za michezo

ALLY KAMWE: YANGA HATUJAINGIA MAKUNDI YA CAF KWA MIAKA 20 ….

admin August 15, 2023 6:51 pm

Klabu ya Yanga SC imekiri kwamba ina historia mbaya kwenye michuano ya Kimataifa kwani ina zaidi ya miaka 20 haijawahi kufika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa.

Kauli hiyo ameitoa leo Agosti 15, 2023 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao wa kwanza wa Klabu Bingwa dhidi ya Asasi utakaopigwa Jumapili hii katika dimba la Azam Complex-Chamaji jijini Dar.

“Tuna historia mbaya na michunao ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, zaidi ya miaka ishirini timu yetu haijacheza hatua ya makunda, hatuwezi kuendelea kuiacha hii istoria iendelee miaka na miaka, tukubaliane kuwa mwaka huu ni wa mwisho.

“Msimu huu tuhakikishe timu yetu inakwenda kucheza hatua ya Makundi,” alisema Ally Kamwe.

DIAMOND NAE AFUNGUKA HAYA BAADA YA YANGA KUPORWA NGAO YA JAMII MWAMUZI AFUNGUKA UTATA WA PENATI ZILIZOOKOLEWA NA ALLY SALIM DHIDI YA YANGA JUZI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply