Tetesi za Usajili Simba
Habari za michezo

HUKO SIMBA KIMEUMANA MWAMBA AGOMA KUTOLEWA KWA MKOPO

Staff Desk August 25, 2023 12:11 pm

Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Simba , winga wao Jimmyson Mwinuke amegoma kutolewa kwa Mkopo kwenda klabu nyingine huku akinishikiza avunjiwe mkataba wake.

Awali taarifa zinadai kuwa Simba ipo kwenye mipango ya kumtoa kwa Mkopo winga huyo kabla ya dirisha kubwa la msimu huu kufungwa.

Mwanuke amekuwa hana nafasi ya kuanza katika kikosi cha Simba tangu asajiliwe misimu mitatu iliyopita akitokea Gwambina FC.

Je, avunjiwe Mkataba au apewe nafasi? Tupe maoni yako

AHMED ALLY AMTABIRIA BALEKE MVUA YA MAGOLI LIPWA MPAKA MARA 1000 YA DAU LAKO KWA KILA USHINDI WA SLOT YA FOXPOT….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply